🏆 Fundi Awards 2025

Kilele cha ubora kwa Mafundi

Jisajili sasa

Kuhusu Fundi Awards

Tuzo za Fundi hutambua mafundi bora wanaounda jamii zetu kupitia ufundi wao. Iwe ni fundi mwashi, seremala, fundi Urembo, fundi umeme, au fundi yeyote, hii ni fursa yako. kung'ara na kupata sifa ya kitaifa.

Maono Yetu

Kutambua na kukuza mafundi bora kitaifa.

Dhamira Yetu

Kuwawezesha mafundi, kuthamini ubora, na kuhamasisha jamii.

Vitengo vya Tuzo

Urembo (Decoration)

Decoration

Uashi (Masonry)

Uashi

Rangi (Painting)

Rangi/Skimming

Vigae (Tiles/ Terrazzo)

Tiles

Kupaua (Roofing)

Roofing

Bomba (Plumbing)

Fundi bomba

Umeme (Electrical)

Umeme

Usajili wa Mafundi

Ikiwa tayari umesajiliwa, taarifa zitajazwa moja kwa moja.